Mikopo ya nyumba Azania bank

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:03 AMReplies 0 · Views 0
#1
Habari zenu wana JF...

Naomba kupata maelezo kuhusu mikopo ya nyumba inayotolewa na benki ya azania, chochote unachofahamu sababu huwa naona tu matangazo kwenye mabango.

Ahsante.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread