Maziwa fresh

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:04 AMReplies 0 · Views 0
#1
HABARI WAKUU,


Nimepata sehemu ambayo naweza kupata maziwa fresh ya ng'ombe wa kienyeji ila mkoani. Wadau challenge niliyo nayo kwa sasa ni jinsi ya kusafirisha yafike kwa customer yakiwa fresh na pia kumpata mteja wa kuwa namsambazia.

Hivyo wadau naleta kwenu mwenye connection na mnunuzi wa maziwa fresh kama lita 5, 000 kwa wiki kwa kuanzia na mwenye link au aliye na container za kusafirishia tuwasiliane hapa jamvini ikiwezekana twaweza fanya joint venture.


Nawasilisha.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread