Karibuni kwenye uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Comics (Super heros) hasa kwa mashabiki wa DCEU movies na MCU movies.
Mimi ni mshabiki wa Marvels hasa Doctor Strange upande wa DC nampenda Joker tu.
MCU ilianza mwaka 2008 ambapo Kevin Feige, Victoria Alonso na Louis Despocito waliungana kutengeneza hizi muvi na kufanaikisha kutoa muvi 22 mpaka leo hii. (IRON MAN TO SPIDERMAN FAR FROM HOME).
Muvi za Marvel zimegawanywa katika phase 4. Mwakani tunaanza phase 5.
Karibuni tujuzane taarifa mbalimbali zitakazokua zinatokea kwenye muvi hizi au Studio hizi za Marvel studios.
Ratiba ya phase 4 hii hapa.
Film[14]U. S. Release dateDirectorScreenwriter(s)Producer(s)StatusBlack Widow[12]Cate Shortland[17]Jac Schaeffer and Ned Benson[18][19]Kevin FeigePost-productionThe Eternals[12]Chloé Zhao[20]Matthew K. Firpo & Ryan Firpo[21]FilmingShang-Chi and the Legend of the Ten Rings[12]Destin Daniel Cretton[22]David Callaham[23]Pre-productionDoctor Strange in the Multiverse of Madness[12]Scott Derrickson[3]Jade Bartlett[24]Untitled Spider-Man: Far From Home sequel[16]TBAChris McKenna & Erik Sommers[25]Kevin Feige and Amy PascalThor: Love and Thunder[12]Taika Waititi[26]Kevin Feige

No reactions yetReply / React