Maalim Seif: The New Mzee wa Mikasi

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:08 AMReplies 0 · Views 3
#1
This is hilarious, kwanza Shein Mzee wa Mikasi orijino (Dr. Omar Juma hakukata tepe sana kama Mzee Orijino) anapewa Urais wa Zanzibar, kisha anamteua kutokana na muafaka Maalim Sefu kuwa mrithi wa Mikasi.


I wouild have thought power sharing would have meant for Sefu kuwa Waziri Kiongozi na hivyo kuongoza Serikali na hasa Baraza la Wawakilishi.


Lakini kaukubali Mkasi na tepe zitamkoma!


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread