Kwanini Tanzania hakuna utaratibu wa Tip Jar kwenye maduka makubwa?

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:17 AMReplies 0 · Views 3
#1
Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya kwako mwenyewe ya kuyatoa andika uzi wako. Ukiona huu haufai, ufute, au wasiliana na mwandishi. Jamiiforums ikiwa imeanza kuwa mchapishaji, ituambie, vinginevyo iache maandishi kama yalivyo au ikiyahariri ijitokeze hadharani. How hard is that?


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread