Kwanini dollar inapanda namna hii kila kukicha?

PamojaForums · Sep 5, 2026 at 5:17 PMReplies 0 · Views 0
#1
Wadau wa uchumi naomba mnipatie majibu yakinifu kwanini dollar inapanda sana kila hasubuhi.


Pia EXCHANGE RATE inafanyika je na nivigezo gani vinafuatiliwa kuandaa


Swali la nyongeza: Hivi ukinunua kitu online mfano ebay zile bei za bidhaa plus usafirishaji zinakutozwa bei mara mzigo ufikapo custom?? Au nikishanunua ndo basi gharama haziongezeki tena?


Nashukuruni wote nikiwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kisha kupigia chama chako kura; usiwe tu shabiki wa chama flani halafu kesho na kesho kutwa unasema kura zinaibiwa wakati yako haipo hata bure.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread