- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100, 000/= hadi TZS 999, 999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo.
Aidha, tunashauri usome maoni mbalimbali ya wadau kuweza kupata kujua wengine wametokaje kwa viwango hivi na unaweza kufikiria namna unayoona inafaa kwako. Tumejitahidi kupangilia posts humu kukurahisishia usomaji kwa ufanisi wako.
Asante
Biashara za kuanzia 100, 000 - 200, 000
-----
----
----
----
----
----
----
Biashara za mtaji wa kuanzia 300, 000-500, 000
-----
----
----
Biashara za mtaji wa kuanzia 600, 000-900, 000
----
Original publication date: 2026-09-05