Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 1:53 AMReplies 0 · Views 0
#1
Inafahamika kama Gallstone (Nyongo). Inapatikana ndani ya mwili wa ngombe, anapochinjwa hutolewa hiyo nyongo. Wachina ndiyo wadau wakubwa wa kuhitaji hii kitu.


Wao huwa Wana amini hutibu Magonjwa ya Ini, Moyo na Homa ya Manjano. Kwa hapa Tanzania wachina hununua gram 1 ya hizo Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000 ambapo ukiweza kuwa na kg1 ni mln 8, 000, 000 mpaka 10, 000, 000 unauza.


Kama kuna mtu ana shughulika na mifugo na atabahatika kuzipata, asisite kuwasiliana na mimi na tukafanya naye biashara maana nina wanunuzi/wahitaji wa uhakika


Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0715591141


Ova


Zaidi, soma:


1), Fursa ya biashara ya uume wa ng'ombe


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread