Sep 6, 2026 at 11:06 AM#1Jamani nahitaji mtu anisaidie, nikilala usiku nikilalia mkono nakuta kuna sehemu nakuta nimevilia damu kwa ndani, tafadhali help No reactions yetReply / React