Sep 6, 2026 at 11:04 AM#1Jaman madaktar habar. Nimeruka dozi 1 ya quinene. Je kuna madhara gani? Ina maana nianze upya? Nipo siku ya tatu na nimesahau kumeza leo mchana. MSAADA TAFADHALI No reactions yetReply / React