Kukira je kuna ukweli?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Huwa nasikia eti mtu akijifungua kisha wazazi wa mtoto yeyote kati yao akiwa na uhusiano nje ya ndoa ili hali mtoto ananyonyeshwa humfanya mtoto alemae, awe kama ana mtindio wa ubongo na hatakua tena, kuna ukweli hapa au ni stori za mababu?


 
 
Back
Top Bottom