Kuanzisha shule ya Awali(Nursery School & Baby Class) Business Partner

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 3:43 AMReplies 0 · Views 4
#1
Tunahitaji mtu mwenye uwezo wa kuwekeza katika biashara ya shule ya awali. Tunataka kufungua shule hiyo jijini Tanga, tayari tumeshafanya critical research na kuona fursa zilizopo ila kikwazo ni kianzio cha kuanzia ambacho ni takribani mil 4.


Karibuni tuwekeze kwenye elimu kwa Watanzania.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread