Kuagiza Mbwa na Sungura kutoka nje ya nchi

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:51 AMReplies 0 · Views 3
#1
Wakuu,

Ninahitaji kuagiza mbwa kutoka ujerumani pia ninahitaji kuagiza sungura kutoka newzealand kwa ajili ya kufuga. Naombeni mnisaidie ninawezaje kupata viumbe hao toka nchi tajwa.


Kuna kampuni unayoifaham ambayo huwa inasafirisha wanyama? Asante


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread