Kila nikidai tendo la ndoa kwa mke wangu anadai anaumia

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 3:47 AMReplies 0 · Views 4
#1
Wakuu habari zenu, nina miezi 2 toka nioe.


Cha ajabu mke wangu kila ifikapo tendo la ndoa anadai anaumia na hata tukisex anataka bao 1 tu nikiongeza la pili anaumia tena sana.


MSAADA WAKUU MAANA SIELEWI.. Na ana ujauzito wangu wa miezi 5 sasa.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread