Sep 5, 2026 at 5:17 PM#1Salama wana JF. Ninahitaji kufuatilia jambo kwa kampuni inayo shughulika migodini kahama inaitwa Kasko, tafadhali mwenye mawasiliano ya aina yoyote kwa kampuni hii niasaidie. Natanguliza shukurani... No reactions yetReply / React