Jinsi gani naweza kuuza business ideas/marketing ideas?

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:07 AMReplies 0 · Views 0
#1
Habari wadau wa forum,


Naomba kujua nawezaje kuuza ideas?

Je ni lazima niwe kwenye registered company or agency?


Maana ilishatokea nikaandika PROPOSAL ya kuhusu TV show na kupeleka TBC but mwisho wa siku sikupata any feedback na kibaya zaidi wanaitumia idea yangu, kuna kipindi kipya kinachoshika umaarufu kwa kasi, its my idea.


Nilivyofuatilia kwa mtangazaji mmoja ambaye nina ukaribu nae akaniambia ukweli kwamba kama haipo registered ni UMELIWA.

Ndo hivyo wadau naomba ushauri.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread