Je wajua baadhi ya staili ya kufanya mapenzi inaweza changia kupata watoto wenye kilema cha ajabu?

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 3:34 AMReplies 0 · Views 4
#1
Staili ya kufanya mapenzi huchangia sana urahisi au ugumu wa kupata mimba kwa mwanamke.


Pamoja na hayo; KIFO CHA MENDE Ndiyo inayotajwa kuongoza kuwa ni staili pekee yenye uhakika wa kutungisha mimba iliyonjema kwa zaidi ya asilimia 90%.


Wakati huo 2% inatajwa kuwa watoto wenye utindio wa ubongo wanaweza sababishwa na namna ya mama mzazi atakavyohudumiwa na mkunga siku ya kujifungua.


Lakini je wajua?

"Baadhi ya staili ngumu za kufanya mapenzi zinatajwa kuchangia kwa asilimia 8% upatikanaji wa watoto wenye umbo la kipekee (Abnormal human being).


BADILIKENI MAPENZI SIYO VITA


Zipo nyingi lakini Mfano! Ile style ya bembea yaani mke anakaa kwenye bembea moja na mume kwenye bembea nyingine wanakutana katikati! Pwaaaah..... Mimba ikitunga Hanna hamna kabisa mtoto akizaliwa lazima awe na kibyongo!


Watu wanakunjwaga ukipiga chabo unaweza fikili ni vilema kumbe buheri wa afya!


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread