Je upo uhalisia wa mawazo haya ya Nyerere ktk Tanzania yetu?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
A university is a place where young men are trained to think critically and independent (Nyerere 1922-1999). Kwamba, chuo kikuu ni mahali ambapo vijana hufunzwa jinsi ya kufikiri na kujitegemea. Hufikiri na kuja na fikara huru za kujitegemea mwenyewe na ndivyo ugunduzi hupatikana, na maendeleo kuwepo katika jamii.


Swali: Je, sisi vijana ambao tunajitamba kuwa wahitimu wa vyuo vikuu, ni kweli tumefunzwa kuibuka na fikara binafsi? Ni kweli, vyuo vyetu hapa nchini ni mahali pa kuwafunza vijana kufikiri wenyewe na kuja na mawazo mbadala binafsi?


TUSAIDIANE WADAU.


 
 

Related Discussions

Back
Top Bottom