Hivi kuna kocha bora amewahi kutokea Ulaya kama Jose Mourinho?

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 7:43 AMReplies 0 · Views 3
#1
Hivi kuna kocha mwenye mafanikio na mtaalam wa mpira wa ulaya kama Morinyo?


Binafsi ningetamani kuona huyu jamaa anaitwa Sir Jose Mourinho. Maana sioni nimlinganishe na kocha yupi, ni basi tu anatokea kwenye kanchi kadogo ka Ureno ndiyo maana anakua underated hasa ukizingatia media za Uingereza ndizo zinatamba Duniani ila hakika huyi jamaa angekua muingereza sasa angekua anaitwa majina makubwa sana.


Kwangu mimi na kwa facts Mourinho ndie kocha bora zaid8 kuwahi kutokea Ulaya.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread