Sep 6, 2026 at 11:08 AM#1Wandugu naomba kufahamishwa kwa anaefahamu kama kuna ukweli wowote kwa baadhi ya magroup ya damu huwa virus (hiv positive)haviyashambulii? No reactions yetReply / React