Gharama za kuanzisha Studio ya Picha

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari wanajamvi, nina 15m. Mfukoni nataka niiweke katika biashara, katika kauchunguzi nilikokafanya nimegundua wilaya hii ninayoishi hakuna studio kubwa za kuprint photographic images... So I want to invest in it.

Ninaomba wanaojua gharama za vitu vya msingi vinavyohitajika wanijuze please..

Natanguliza shukrani.


 
 
Back
Top Bottom