Gharama tanapa

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:56 AMReplies 0 · Views 4
#1
Wakuu, naombeni ambaye anazifahamu gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti anipe, nipo Mwanza, je ninaweza anzia safari huku? Au hadi wapi? Nataka twende huko na mke wangu, nimejaribu kwa simu ku-download fail halifunguki ni pdf... Ahsanteni sana


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread