Fallopian Tubes zimeziba nifanyeje

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:05 AMReplies 0 · Views 4
#1
Rafiki yangu kapata problem ya kuziba kwa mirija ya uzazi yaani Fallopia Tubes, ni kwamba kajifungua mara mbili na uzazi wa pili mtoto alifariki akiwa na wiki moja, tatizo lililopo ni kuwa huu ni mwaka wa nne akijitahidi kupata mimba lakini bila ya mafanikio, alikwenda kwa Dr Mugaya pale Maria Clinic Namamga kwa ajili ya Medical Check up kuangalia tatizo ni nini, Dr akamshauri akapige picha TMJ kuangalia hizo Fallopian tubes na majibu yakatoka ni kweli kuwa hiyo mirija ya uzazi imeziba, Please the great thinkers naombeni msaada wenu,

Natanguliza shukrani



 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread