Diva'loveneslove' hajui kupika

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:06 AMReplies 0 · Views 3
#1
Nilikuwa nasikiliza kipindi chake cha 'ALA ZA ROHO' kinachoruka hewani kuanzia saa 4-6 usiku(clouds fm) ambapo alikuwa anasherehekea birthday yake na aliwaalika watu kadhaa studio. Katika porojo za hapa na 'waalikwa' alinishangaza pale aliposema HAJUI KUPIKA, nikajiuliza inakuwaje msichana wa kitanzania umri kama wake asijue kupika, au ndiyo uzungu?!


NAWASILISHA.....!!!


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread