Sep 6, 2026 at 11:03 AM#1Msanii wa Kitanzania DIAMOND leo hii ametoa burudani ya wimbo wake Mawazo katika Big Brother Africa. Leo ni siku ya Eviction show ambapo Mmoja kati ya washiriki Ataondolewa Mashindanoni. No reactions yetReply / React