Deudatus Balile Ateuliwa Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:06 AMReplies 0 · Views 0
#1
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation, Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri Mtanzania. Taarifa iliyotolewa Bashe inasema uteuzi huo unatokana na muundo mpya wa kampuni, Balile anachukua nafasi liyoachwa wazi na Mhingo Lyemamu ambaye kwa sasa ni Msaidizi (Personal asistant) wa Yusuph Manji. Dany Mwakiteleko anaendelea na wadhifa wake Naibu Mhariri, Uteuzi huu unaanza Mara moja


Wana JF tuanaomba mwenye Cv ya Balile aiweke hapa jamvini


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread