Birthday yangu

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:07 AMReplies 0 · Views 4
#1
Siku ya kuzaliwa kwangu ni tarehe 27 September. Nilizaliwa miaka mingi ilyopita wakati nchi ikiwa ya kijani sana. Sasa hivi naona uchungu kuwa nchi yote ni ya kahawia.


Hebu nipe salamu za happy birthday na naahidi nitazipokea kwa moyo mkunjufu kwa vile nimeshavuka kiwango cha umri wa mtanzania wa kawaida, yaani ninakula bonasi ambayo Watanzania wengi hawaipati.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread