Biashara ya Vinywaji Baridi Kwa Bei ya Jumla

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari wakuu poleni na majukumu


Nina wazo la kufungua Biashara ya vinywaji baridi Kwa bei ya Jumla Kwa maeneo ya Tanga.


Nilikua naomba kujua je mtaji wa kiasi gani naweza kuanza nao? (Kima cha chini)


Na Je iliuanze biashara ya Jumla unahitaji kununua kuanzia katoni ngapi Kweny Deposit?


Pia Kwa anayeyajua machimbo au Deposit ambapo unaweza kwenda kuchukua mzigo naomba anielekeze


Naomba kuwasilisha.


 
 
Back
Top Bottom