Biashara ya ukopeshaji pesa kwa riba

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 1:53 AMReplies 0 · Views 0
#1
Habari wana Jamiiforums


Kwa mtu ambaye anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa riba tunaomba atupe ikoje na hasara zake zikoje na jinsi ya kutatua izo changamoto.


Natanguliza shukrani.. Maana nimevutiwa sana natamani niifanye


Sent using Jamii Forums mobile app


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread