Biashara ya spare za magari Dar es Salaam

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 2:00 AMReplies 0 · Views 0
#1
Habari za jioni wadau,


Baada ya kufanya kazi kwa muda mreu na kutafuta mtaji wa biashara, Nimeamua kujiajiri na nimeazimia kufungua biashara ya spare za magari.


Naomba kujua kwa wenye uzoefu na hii biashara mtaji wa 15, 000, 000 Tanzania shilingi unaweza kuanzia na je nikitaka kuchukua mzigo kwa jumla niende wapi kwa hapa Tanzania au kuagiza nje ya nchi ni nch gani.


Naomba kuwasilisha


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread