Biashara ya matunda mchanganyiko (fruits salad) Tabora

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:40 AMReplies 0 · Views 0
#1
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu Mim ni muhanga wa ajira za serikali.

Nataka hamishia makazi yangu Tabora na kujihusisha na biashara ya matunda mchanganyiko hapo tabora


Kwa wakazi wa Tabora naomben mnipe experience yenu na mji wa Tabora vip nitafanikiwa!??


Koz siyo mwenyeji ki hvyo kama kuna mtu yuko read tunaweza partber kwa hiyo idea ya biashara...


Karbun kwa ushaur, ukosoaji na mengineyo.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread