Biashara ya kuuza gesi za kupikia

PamojaForums · Sep 5, 2026 at 5:17 PMReplies 0 · Views 0
#1
Wadau kwema?


Naomba msaada kwa mwenye kufahamu biashara ya kuuza gesi za kupikia.


Je, mtaji wake nikiweka kama 500, 000/= Tsh unatosha?


Je, vibali vya kufanyia hiyo bishara vimekaaje?


Naomba msaada wadau wenye uelewa.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread