Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

PamojaForums · Sep 5, 2026 at 4:24 PMReplies 0 · Views 2
#1
Naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua duka la rejareja la kuuza mchele, juice na kadhalika linaweza kuitaji mtaji kiasi gani


Ibravo post:

Habari zenu Wana JamiiForums,


Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu, katika harakati za kujiandaa na kupambana na maisha pindi nitakapohitimu elimu yangu na kurudi mtaani, nimetafuta pesa ikiwa kama mtaji wa biashara milioni moja (1, 000, 000)hasa ya duka la bidhaa za vyakula.


Tatizo ni kwamba si mzoefu katika biashara na ni mara ya kwanza kutaka kuifanya hii biashara kwan matarajio yangu ni kujiajiri mwenyewe.


Naomba ushauri kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili kunipa mchanganuo wa bidhaa muhimu zinazotakiwa kuwepo dukani kama vile unga kiasi gani, mchele n. k kulingana na mtaji huo wa Milioni Moja.


Natanguliza Shukrani zangu.


BAADHI YA MASWALI YA WADAU WENGINE KUHUSU BIASHARA HII


MAONI MBALIMBALI KUHUSU BIASHARA HII


PIA, SOMA MADA HIZI:


Biashara ya duka la rejareja inahitaji roho ngumu

Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali - JamiiForums

Una duka dogo la rejareja, mtaji ni mdogo na umezungukwa na maduka mengi na ushindani ni mkubwa? - JamiiForums




 

Original publication date: 2026-09-05
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread