Biashara Gani Ina faida Nzuri?

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 2:18 AMReplies 0 · Views 4
#1
Habari wana JF, ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida, kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20, 000 na kuendelea kwa siku??????


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread