Bethwell Mbugua: Watanzania walipigwa changa la macho?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Je mnamkumbuka "Kipanga" Bethuel Mbugua aliyetikisa anga za vyuo vikuu vya Afrika ya Mashariki mwaka 1989 na 1990 kwa kutoa mihadhara mikalikali kuhusu Cardiology?? Nilikuwa pale Mlimani alipokuja na kututia "somo" wazee wote tukamvulia kofia. Wakati huo alikuwa labda na umri wa miaka kati ya sita na 10 hivi. Binasfi nilisema kweli kuna wengine huzaliwa na vichwa.


Angalia video yake hapa


Juzi juzi nimesoma yaliyomtokea miaka 18 iliyopita ni ya kusikitisha sana. Nitatafuta article ile niwaletee hapa


 
 
Back
Top Bottom