Benki ya FINCA na interest ya 14%

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nimekutana na matangazo ya benki hii ya FINCA kwamba unaweza fungua account kwao na ukapewa interest ya 14% ukiwa ume diposit kuanzia 1 mil hadi mil 25, ukiwa juu ya hapo utapewa interst zaidi.


Mimi binafsi naona inaweza kuwa njia sahihi ya kuwekeza kwa watu ambao awana mda wa kufanya shughuli nyingine ila kabla ya yote naomba kujuzwa haya kwa mwenye ufahamu


A. Kuna ukweli kuhusu hili?

B. Hiyo riba ni kweli inatolewa kama wanavyo dai?

C. Wapi wanapatikana kwa huduma hii?


 
 
Back
Top Bottom