Bendi zetu za Zamani

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:05 AMReplies 0 · Views 0
#1
Ndugu wanaJF hebu tujikumbushe bendi zetu za zamani wakati ambapo nyerere alikuwa hana utani na mafisadi'

1. Tancut Alumas Orchestra (ikiwa na kina John Kitime)

2. Bima Lee Orchesta

3. Vijana Jazz Orchestra (Ahmed Maneti, Kida Waziri enzi hizo) walitamba sana na Ngapulila, Mwisho wa Mwezi, Wifi zangu mnamambo, nk

4. Super Matimila

5. Washirika Tanzania Stars (Watu njatanjata) ikisheheni wanamziki hatari kina Adam Bakar, Eddy Sheggy, Christin Sheggy, Mhina Banduka, Hamza Kalala, nk.

6. Mk Group (Kasongo Mpinda)

7. MK Beats

9. Orchestra Safari Sound


Haya na wewe weka hapo za kwako. Je hizi bendi zipo kwenye makumbusho ya Taifa?


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread