Barclays Loan and prestige account

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:07 AMReplies 0 · Views 3
#1
Hello JF Wachumi


Wakuu.... Kuna Loan hizi za Barclays bank ambazo zinakuwa ni 4yrs payment kama umechukua 10m tsh.

Ukilipa vyema kwa three years consecutive. Wanachagua wateja wao ambao wamelipa vyema bila matatizo

Wanawapa nafasi ya ku topup(Naomba Ufafanuzi wa hili) tena amout. Halafu unabadili account yako kutoka

Kwenye account ya kawaida kwenda Prestige ambay inacharge ya Tsh.15, 500 per month. I. E 3, 500 monthly Ledger

Fee plus Tsh.12, 000 monthly fee kwa hadhi ya kupata service za hiyo Account.. I. E kuwa na Dirisha la peke

La kuhudimia watu wa Prestige, Discounts, plus Overdraft facility.. Yaani unaweza kutoa zaidi ya balance yako

Kwa Tsh. Laki moja bila charge....!!


Je swali langu ni kwenye topup hapo na makato yanakuwaje je kama walikuwa wanakukata 25% riba.

Itaendelea hiyo hiyo au wataongeza kwa kwa namna yoyote? Ile? Wanasema kuna discount kwenye

Some of hotels ambazo wameingia nazo mkataba kwa wateja wao ambao wana prestige customers.

Kama kuna mwenzetu humu ndani ambaye ana maelezo mazuri kuhusu hili naomba msaada... Kabla

Wengi wetu hatujaingia kichwa kichwa.


Wenu wa Heshima

Buswelu


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread