Bajaji inauzwa

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:05 AMReplies 0 · Views 0
#1
Habari zenu wapendwa, kuna bajaji yangu nauza aina ya TVZ king, ipo katika hali nzuri sababu ya kuuza ni kwamba mm nipo masomoni nje ya nchi kijana wangu (dreva wangu ananizungusha haleti hesabu kama tulivokubaliana kwa hio nimeamua bora niuze kuliko kuja kukosa yote. Kwa maelezo zaidi just send text on this no. 0773496161.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread