Anayefahamu namba za kumbi za harusi Dar es Salaam

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 6:23 AMReplies 0 · Views 4
#1
Wana jf naomba msaada wenu wa kupata namba za wenye kumbi za harusi hapa Dar es Salaam ili nami nipate kuwe order yangu kwao napenda sana kama unayo ya diamond jublee, nssf water front, ubungo plaza, quality plaza na zingine ili nami niwe na uwanja mpana wa kuchagua, napenda kutanguliza shukurani zangu za dhati kwa wale wote watakao nisaidie, na wale ambao watanipa mawazo yao. Ahsenten





 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread