Afya za mastaa wa bongo fleva!

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:07 AMReplies 0 · Views 6
#1
Mimi binafsi ni shabiki mkubwa sana wa muziki wa kizazi kipya, hongereni vijana mnajitahidi. Ila ninawasiwasi sana na huko mnakoelekea kiafya, tuige mfano wa wenzetu wa nje, HAMFANYI PHYISICAL EXERCISE mfano JUZI TU AY ulimi nje nyimbo 2 oale dimond jubilee aliishiwa punzi kwa waliokuwa wanafwatilia.


Ifwaatayo ni list ya walionenepa kupita maelezo kwa kipindi kifupi tu walipoa toa single 1/2


1. Prof J

2. Matonya

3. AY

4. Joycelene

5. Keisha

6.......

7........


Hongera Zola D. Wewe unapaswa kuwa mfano wa kuigwa.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread