Sep 6, 2026 at 11:07 AM#1Haya kwa wapenzi wa 24 ndiyo hivyo season 8 (inasemekana ni season ya mwisho) imeanza jana, kuto kuondoa uhondo kwa wale ambao hawajaangalia sitosema mengi.No reactions yetReply / React