What's new

Nafasi za Kazi 60 kutoka Benki ya NBC

Habari boss,
Mimi fani yangu ni dereva,kama nitahitajika na kutakua na kazi hii naomba mnipe kipaumbele,ni mchapa kazi hodari na mtunzaji mzuri wa nyara za ofisi.
Ni matumaini yangu ofisi yako italifanyia kazi ombi langu.
NBC benki yetu
 
Back
Top