Tiger Woods aachana rasmi na mkewe

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Tiger Woods ameachana rasmi na mkewe Elin Nordegren. Woods ametangaza katika website yake na kusema kwamba ndoa yao na Elin imefikia tamati leo na hukumu imetolewa leo katika mahakama ya kesi za ndoa ilopo Bay County (Florida).


Katika taarifa yao ya pamoja Tiger na Elin wamesema wanaachana katika majonzi lakini wanatakiana maisha mema ya kila mtu kivyake.


Kwa habari zaidi tembelea website ya Woods -www.tigerwoods.com, panaposomeka: "Elin Nordegren and Tiger Woods confirmed today that they have divorced"


 
 
Back
Top Bottom