Ni kweli Azam Cola imepigwa marufuku

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kampuni ya Azam ilizindua soda aina ya Azam Cola.. Ambazo zilitokea kupendwa sana... Ila sasa kuna STORY mitaa kuwa zimesimamishwa/kufungiwa.. Nimeuliza kisa sijapata.. Naona bora niulize huku Jamvini... Anayejua atuabarishe


 
 
Back
Top Bottom