Ujenzi wa Ghorofa Moja

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Naangalia option kujaribu kujenga kighorofa kimoja japo nilale juu, fundi ameniambia nichague kati ya option mbili

  1. Kulaza matofali
  2. Kutumia nguzo
Namaanisha kama nikilaza matofali floor slab ya juu itakua supported na hayo matofali bila nguzo. Kama nikiopt nguzo nitasimamisha matofali kawaida, niko tutani naombeni ushauri wataalamu ujenzi nitaanza soon ndiyo nafanya site clearance na kukusanya vifaa. Niko jijini


 
 
Back
Top Bottom