- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Ninampango wa kuuza bidhaa mbali za electronics kama vile simu za mikononi, laptop, flash disk, camera n. K. Ili niweze kufanikisha hilo ninaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya soko la bidhaa za electronics hasa zile za IT ambazo zinafanya vizuri katika soko la Tanzania na zinazouzika kwa haraka. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika hili.
Baadhi ya maoni ya Wadau wa JamiiForums
Baadhi ya maoni ya Wadau wa JamiiForums