Hivi Kwanini Wema anaitwa Msanii? Ni msanii kwenye tasnia ipi?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habarini Wakuu,


Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"


Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?


Aliigiza filamu ya mwisho lini?


Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?


Kwanini anaitwa Msanii maarufu?


 
 
Back
Top Bottom