1. P

    Wasanii kushtakiwa na kufungwa: Baada ya TID je atafuatia Sir Nature?

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya "Sir" Juma Nature Anakabiliwa na tuhuma za "kubaka" baada ya kukaa kwa siku kadhaa na binti wa chini ya amiaka 18. Endapo mashtaka yatasimama akaonekana na hatia, kuna hatari ya kufungwa kwa muda usiopungua miaka 35 jela chini ya sheria ya makosa ya kujamiiana (...
  2. P

    Turkey, Tanzania sign deals of visa exemption & other trade ties

    KUMBE ZIARA ZA HUYU BWANA ZINAMANUFAA Nimefurahi kusikia kwamba tutakuwa tunaingia bila visa for somedays uturuki (Ubatani kama wavyopaita wanafunzi wa kitanzania wasomao kule). Nikiwa kama Mwanafunzi niliyepata kusoma uturuki nimefurahishwa na habari hii nikaona niwape nanyi wenzangu wenye...
  3. P

    RICHA PWAAAAAAAAA-----Miss World atoka China

    Miss China Zhang Zilin pichani juu ameibuka mshindi wa Shindano la Miss World lilomalizika hivi punde Sanya China, ambapo Mwakilishi kutoka Tanzania Richa Adhia alitolewa kwenye mchakato huo kwenye kwenye hatua za kwanza kabisa Bila kugusa mzunguko wa pili.. Habari zaidi...
  4. P

    Hii imekaaje? Virusi vya ukimwi vyanichanganya!!

    Tumeoana miaka mitano iliyopita, mara baada ya kuoana mmoja kati yetu alifanya HIV test na kugundua yuko reactive, bila kumshirikisha mwenzi wake kwakuamini kuwa yeye ndiye chazo. Hivi majuzi tumeenda wote kwenye VCT centre na ikabainika kuwa mmoja kati yetu ni nonreactive na mwingine ni...
  5. P

    Dr. Idris rashid fisadi mkuu tanesco

    WADAU HABARI ZA HIVI PUNDE ZINAPATIKANA HAPA, BONYEZA... DR. IDRIS RASHID KUMBE NAYE WAMO KWENYE UFISADI?? BWANA MKUBWA ANAIUA TANESCO, UFISADI HUU UTAISHA LINI??? http://jamiiforum.blogspot.com/2009/08/fisadi-mkuu-tanesco-dr-idris-rashid.html  
  6. P

    HIV na Blood Group

    Wandugu naomba kufahamishwa kwa anaefahamu kama kuna ukweli wowote kwa baadhi ya magroup ya damu huwa virus (hiv positive)haviyashambulii?  
  7. P

    Msaada tafadhali: How to use my little cash

    Mimi ni msichana niliyemaliza chuo mwaka jana mpaka nau sijaajilwa nafany tempo tu... Sasa nimepta hapa shilingi laki tano natak hii hela izae.... Yaani nataka nifanye biashara ya mtaji huu jamni sasa i do not know where to start nafikiria sana lakini naona kila biashara ina mtaji mkubwa...
  8. P

    [Mengi] IPP Gold Ltd strikes deal

    Douglas Lake Acquires 100% Interest in 4 New Properties Bordering Canaco in the Handeni District VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA--(Marketwire - Sept. 22, 2010) Douglas Lake Minerals Inc. (the "Company" or "Douglas Lake") (OTCBB😀LKM)(FRANKFURT😀60) is very pleased to announce that the Company has...
  9. P

    Barclays TZ... The hopeless, nimewanyooshea mikono!

    Jamani... Sijui tatizo kama ni langu na watu walio karibu yangu.. Au ni vipi.... Kwa kweli huduma za benki za Barclays zinanitia kichefuchefu mno.... Nimejaribu kufungua akaunti personal sasa yapata mwezi wa tatu haijawezekana.... Tena baada ya kuchoshwa na tawi la Ubungo plaza.. Nikatoa...
  10. P

    Barclays: Nimekoma!

    Wakuu nilifungua akaunti mpya barclay kwa sh. 50000 januari 2009, leo naangalia salio nakuta 12000, gharama zao zikoje kwa mwenye kujua?  
  11. P

    Dalili ni zipi?

    Wana JF tukumbushane dalili za magonjwa mbalimbali naamini kuwa Watanzania wengi hatuna tabia ya kwenda hospitali kwa hiyo siyo mbaya tukakumbushana dalili za magonjwa kama vile UKIMWI MALARIA KASWENDE GONO TYPHOID Na mengineyo mengi hapa nimetaja kwa uchache tu. Nafikiri mtu akiona...
  12. P

    Saikolojia inavyotatua tatizo la mwanaume kufika kileleni mapema!

    Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanaonesha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu za hamasa ya kimahaba..  
  13. P

    Big up bwana mdogo Kanumba!

    Nakupongeza sana Bwana Mdogo Steve Kanumba kwa kuheshimu maoni ya wadau wako na sasa wasifu wako unaeleweka vyema kupitia tovuti yako: http://www.kanumba.com/Biography.html ​
  14. P

    On my way to TZ!..

    Kwa wale wana JF walioko TZ jamani tutafutane.... Nitakuwa TZ for a month vacation.... Wale wanaotaka mingle with Kelly01... Ni PM with your phone number ila firts week nitakuwa with family and second nitakuwa camping Arusha.... Then baada ya hapo i will be available... I am craving for nyama...
Back
Top Bottom